Bwana, umrehemu mwanangu, kwa kuwa ana kifafa, na kuteswa vibaya; maana mara nyingi huanguka motoni, na mara nyingi majini.
Mathayo 17:16 - Swahili Revised Union Version Nilimleta kwa wanafunzi wako, wasiweze kumponya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nilimleta kwa wanafunzi wako lakini hawakuweza kumponya.” Biblia Habari Njema - BHND Nilimleta kwa wanafunzi wako lakini hawakuweza kumponya.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nilimleta kwa wanafunzi wako lakini hawakuweza kumponya.” Neno: Bibilia Takatifu Nilimleta kwa wanafunzi wako, lakini hawakuweza kumponya.” Neno: Maandiko Matakatifu Nilimleta kwa wanafunzi wako, lakini hawakuweza kumponya.” BIBLIA KISWAHILI Nilimleta kwa wanafunzi wako, wasiweze kumponya. |
Bwana, umrehemu mwanangu, kwa kuwa ana kifafa, na kuteswa vibaya; maana mara nyingi huanguka motoni, na mara nyingi majini.
Yesu akajibu, akasema, Enyi kizazi kisichoamini, kilichopotoka, nitakaa pamoja nanyi hadi lini? Nitachukuliana nanyi hadi lini? Mleteni huku kwangu.
Na kwa imani katika jina lake, jina lake limemtia nguvu mtu huyu mnayemwona na kumjua; na imani ile iliyo kwake yeye imempatia huyu uzima huu mkamilifu mbele yenu ninyi nyote.