Mathayo 17:14 - Swahili Revised Union Version Nao walipoufikia mkutano, mtu mmoja akamjia, akampigia magoti, akisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walipoufikia tena ule umati wa watu, mtu mmoja alimwendea Yesu, akampigia magoti, Biblia Habari Njema - BHND Walipoufikia tena ule umati wa watu, mtu mmoja alimwendea Yesu, akampigia magoti, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walipoufikia tena ule umati wa watu, mtu mmoja alimwendea Yesu, akampigia magoti, Neno: Bibilia Takatifu Walipofika penye umati wa watu, mtu mmoja akamjia Isa na kupiga magoti mbele yake, akasema, Neno: Maandiko Matakatifu Walipofika penye umati wa watu, mtu mmoja akamjia Isa na kupiga magoti mbele yake, akasema, BIBLIA KISWAHILI Nao walipoufikia mkutano, mtu mmoja akamjia, akampigia magoti, akisema, |
Akaja kwake mtu mwenye ukoma, akamsihi na kumpigia magoti, na kumwambia, Ukitaka, waweza kunitakasa.
Alipokuwa akitoka kwenda njiani, mtu mmoja akaja mbio, akampigia magoti, akamwuliza, Mwalimu mwema, nifanye nini nipate kuurithi uzima wa milele?
Hata tulipotimiza siku zile tukaondoka tukaenda zetu, na watu wote, pamoja na wake zao na watoto wao, wakatusindikiza mpake nje ya mji, tukapiga magoti pwani tukaomba;