Wakala wote wakashiba; wakayaokota mabaki ya vipande vya mikate, vikapu kumi na viwili, vimejaa.
Mathayo 16:10 - Swahili Revised Union Version Wala ile mikate saba kwa watu elfu nne, na makanda mangapi mliyoyaokota? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Au, ile mikate saba waliyogawiwa wale watu 4,000, je, mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki. Biblia Habari Njema - BHND Au, ile mikate saba waliyogawiwa wale watu 4,000, je, mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Au, ile mikate saba waliyogawiwa wale watu 4,000, je, mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki. Neno: Bibilia Takatifu Au ile mikate saba kwa watu elfu nne na idadi ya vikapu vilivyojaa mabaki mlivyokusanya? Neno: Maandiko Matakatifu Au ile mikate saba iliyolisha watu 4,000 na idadi ya vikapu vingapi vya mabaki mlivyokusanya? BIBLIA KISWAHILI Wala ile mikate saba kwa watu elfu nne, na makanda mangapi mliyoyaokota? |
Wakala wote wakashiba; wakayaokota mabaki ya vipande vya mikate, vikapu kumi na viwili, vimejaa.