naye kuhani ataangalia, ikiwa huo upele umeenea katika ngozi, ndipo kuhani atasema kuwa ni najisi; ni ukoma.
Mathayo 15:7 - Swahili Revised Union Version Enyi wanafiki, ni vema alivyotabiri Isaya kwa habari zenu, akisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu: Biblia Habari Njema - BHND Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu: Neno: Bibilia Takatifu Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba: Neno: Maandiko Matakatifu Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba: BIBLIA KISWAHILI Enyi wanafiki, ni vema alivyotabiri Isaya kwa habari zenu, akisema, |
naye kuhani ataangalia, ikiwa huo upele umeenea katika ngozi, ndipo kuhani atasema kuwa ni najisi; ni ukoma.
basi asimheshimu baba yake au mama yake. Mkalitangua neno la Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu.
Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa huniheshimu kwa midomo Ila mioyo yao iko mbali nami;