Mathayo 15:38 - Swahili Revised Union Version Nao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hao waliokula walikuwa wanaume 4,000, bila kuhesabu wanawake na watoto. Biblia Habari Njema - BHND Hao waliokula walikuwa wanaume 4,000, bila kuhesabu wanawake na watoto. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hao waliokula walikuwa wanaume 4,000, bila kuhesabu wanawake na watoto. Neno: Bibilia Takatifu Idadi ya watu walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto. Neno: Maandiko Matakatifu Idadi ya watu walikuwa wanaume 4,000 bila kuhesabu wanawake na watoto. BIBLIA KISWAHILI Nao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto. |