Mathayo 15:35 - Swahili Revised Union Version Akawaagiza mkutano waketi chini; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Yesu akawaamuru watu wakae chini. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Yesu akawaamuru watu wakae chini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Yesu akawaamuru watu wakae chini. Neno: Bibilia Takatifu Isa akaagiza watu wote waketi chini. Neno: Maandiko Matakatifu Isa akawaambia ule umati wa watu waketi chini. BIBLIA KISWAHILI Akawaagiza mkutano waketi chini; |
akaitwaa ile mikate saba na vile visamaki, akashukuru akavimega, akawapa wanafunzi wake, nao wanafunzi wakawapa makutano.
Yesu akasema, Waketisheni watu. Na mahali pale palikuwa na majani tele. Basi wanaume wakaketi, wapata elfu tano jumla yao.