Mfalme akamwambia, malkia Esta, unataka nini? Nayo ni haja gani uliyo nayo? Utapewa hata nusu ya ufalme.
Mathayo 14:7 - Swahili Revised Union Version Hata akaahidi kwa kiapo ya kwamba atampa lolote atakaloliomba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba. Biblia Habari Njema - BHND hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba. Neno: Bibilia Takatifu kiasi kwamba aliahidi kwa kiapo kumpa huyo binti chochote angeomba. Neno: Maandiko Matakatifu kiasi kwamba aliahidi kwa kiapo kumpa huyo binti chochote angeomba. BIBLIA KISWAHILI Hata akaahidi kwa kiapo ya kwamba atampa lolote atakaloliomba. |
Mfalme akamwambia, malkia Esta, unataka nini? Nayo ni haja gani uliyo nayo? Utapewa hata nusu ya ufalme.
Basi mfalme akamwambia Esta pale penye karamu ya divai, Dua yako ni nini? Nawe utapewa; na haja yako ni nini? Hata nusu ya ufalme utatimiziwa.
Mfalme akamwambia Esta tena siku ya pili pale pale penye karamu ya divai, Malkia Esta, dua yako ni nini? Nawe utapewa; na haja yako ni nini? Hata nusu ya ufalme utatimiziwa.
Afumbaye macho, kusudi lake ni kuwaza yaliyopotoka; Aikazaye midomo yake hutokeza mabaya.
Hata ilipofika sikukuu ya kuzaliwa kwake Herode, binti ya Herodia alicheza mbele ya watu, akampendeza Herode.
Naye, huku akichochewa na mamaye, akasema, Nipe hapa katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.