Mathayo 14:7 - Swahili Revised Union Version7 Hata akaahidi kwa kiapo ya kwamba atampa lolote atakaloliomba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 kiasi kwamba aliahidi kwa kiapo kumpa huyo binti chochote angeomba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 kiasi kwamba aliahidi kwa kiapo kumpa huyo binti chochote angeomba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Hata akaahidi kwa kiapo ya kwamba atampa lolote atakaloliomba. Tazama sura |