Na watu wa mahali pale walipomtambua, walituma watu kwenda nchi zile zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa wagonjwa;
Mathayo 14:34 - Swahili Revised Union Version Na walipokwisha kuvuka, walifika nchi ya Genesareti. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walivuka ziwa, wakafika nchi ya Genesareti. Biblia Habari Njema - BHND Walivuka ziwa, wakafika nchi ya Genesareti. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walivuka ziwa, wakafika nchi ya Genesareti. Neno: Bibilia Takatifu Walipokwisha kuvuka, wakafika nchi ya Genesareti. Neno: Maandiko Matakatifu Walipokwisha kuvuka, wakafika nchi ya Genesareti. BIBLIA KISWAHILI Na walipokwisha kuvuka, walifika nchi ya Genesareti. |
Na watu wa mahali pale walipomtambua, walituma watu kwenda nchi zile zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa wagonjwa;
Ikawa makutano walipomsonga wakilisikiliza neno la Mungu, yeye alikuwa amesimama kando ya ziwa la Genesareti,