Mathayo 14:17 - Swahili Revised Union Version Wakamwambia, Hamna kitu hapa ila mikate mitano na samaki wawili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.” Biblia Habari Njema - BHND Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.” Neno: Bibilia Takatifu Wakamjibu, “Tuna mikate mitano na samaki wawili tu.” Neno: Maandiko Matakatifu Wakamjibu, “Tuna mikate mitano na samaki wawili tu.” BIBLIA KISWAHILI Wakamwambia, Hamna kitu hapa ila mikate mitano na samaki wawili. |
Hamjafahamu bado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale elfu tano, na vikapu vingapi mlivyoviokota?
Akawaambia, Wapeni ninyi chakula. Wakasema, Hatuna kitu zaidi ya mikate mitano na samaki wawili, tusipokwenda tukawanunulie watu hawa wote vyakula.