Mathayo 12:16 - Swahili Revised Union Version akawakataza wasimdhihirishe; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema akawaamuru wasiwaambie watu habari zake, Biblia Habari Njema - BHND akawaamuru wasiwaambie watu habari zake, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza akawaamuru wasiwaambie watu habari zake, Neno: Bibilia Takatifu akiwakataza wasiseme yeye ni nani, Neno: Maandiko Matakatifu akiwakataza wasiseme yeye ni nani. BIBLIA KISWAHILI akawakataza wasimdhihirishe; |
Na walipokuwa wakishuka mlimani, Yesu aliwaagiza, akasema, Msimwambie mtu yeyote habari ya maono hayo, hadi Mwana wa Adamu atakapofufuka katika wafu.
Yesu akamwambia, Angalia, usimwambie mtu; ila nenda zako, ukajioneshe kwa kuhani, ukaitoe sadaka kama alivyoamuru Musa, iwe ushuhuda kwao.
Macho yao yakafumbuka. Naye Yesu akawaagiza kwa nguvu, akisema, Angalieni hata mtu mmoja asijue.
Naye Yesu akajitenga, yeye na wanafunzi wake, akaenda baharini. Mkutano mkuu ukamfuata, kutoka Galilaya, na Yudea,
Akawaonya wasimwambie mtu; lakini kadiri ya alivyozidi kuwaagiza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari;