Lakini mlitoka kwenda kuona nini? Mtu aliyevikwa mavazi mororo? Tazama, watu wavaao mavazi mororo wamo katika nyumba za wafalme.
Mathayo 11:9 - Swahili Revised Union Version Lakini kwa nini mlitoka? Ni kuona nabii? Naam, nawaambia, na aliye mkuu zaidi ya nabii. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini, mlikwenda kuona nini? Nabii? Naam, hakika ni zaidi ya nabii. Biblia Habari Njema - BHND Lakini, mlikwenda kuona nini? Nabii? Naam, hakika ni zaidi ya nabii. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini, mlikwenda kuona nini? Nabii? Naam, hakika ni zaidi ya nabii. Neno: Bibilia Takatifu Basi mlienda kuona nini? Mlienda kumwona nabii? Naam, nawaambia, yeye ni zaidi ya nabii. Neno: Maandiko Matakatifu Basi mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona nabii? Naam, nawaambia, yeye ni zaidi ya nabii. BIBLIA KISWAHILI Lakini kwa nini mlitoka? Ni kuona nabii? Naam, nawaambia, na aliye mkuu zaidi ya nabii. |
Lakini mlitoka kwenda kuona nini? Mtu aliyevikwa mavazi mororo? Tazama, watu wavaao mavazi mororo wamo katika nyumba za wafalme.
Nawe, mtoto, utaitwa nabii wake Aliye Juu, Kwa maana utatangulia mbele za uso wa Bwana umtengenezee njia zake;
Na tukisema ulitoka kwa wanadamu, watu wote watatupiga kwa mawe, kwa kuwa wamemkubali Yohana kuwa ni nabii.