Mathayo 11:9 - Swahili Revised Union Version9 Lakini kwa nini mlitoka? Ni kuona nabii? Naam, nawaambia, na aliye mkuu zaidi ya nabii. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Lakini, mlikwenda kuona nini? Nabii? Naam, hakika ni zaidi ya nabii. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Lakini, mlikwenda kuona nini? Nabii? Naam, hakika ni zaidi ya nabii. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Lakini, mlikwenda kuona nini? Nabii? Naam, hakika ni zaidi ya nabii. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Basi mlienda kuona nini? Mlienda kumwona nabii? Naam, nawaambia, yeye ni zaidi ya nabii. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Basi mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona nabii? Naam, nawaambia, yeye ni zaidi ya nabii. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Lakini kwa nini mlitoka? Ni kuona nabii? Naam, nawaambia, na aliye mkuu zaidi ya nabii. Tazama sura |