Mathayo 11:30 - Swahili Revised Union Version kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana, nira niwapayo mimi ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.” Biblia Habari Njema - BHND Maana, nira niwapayo mimi ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana, nira niwapayo mimi ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.” Neno: Bibilia Takatifu Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.” Neno: Maandiko Matakatifu Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.” BIBLIA KISWAHILI kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi. |
Ee mwanadamu, yeye amekuonesha yaliyo mema; na BWANA anataka nini kwako, ila kutenda haki, na kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako!
Wakati ule Yesu alipita katika mashamba siku ya sabato; wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kuvunja masuke, wakala.
Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.
Basi sasa mbona mnamjaribu Mungu na kuweka kongwa juu ya shingo za wanafunzi, ambalo baba zetu wala sisi hatukuweza kulibeba.
Maana dhiki yetu nyepesi, iliyo ya muda mfupi tu, yatuandalia utukufu wa milele uzidio kuwa mwingi sana;
Katika uhuru huo Kristo alituweka huru; kwa hiyo simameni, wala msinaswe tena chini ya kongwa la utumwa.
Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito.