Magari ya Mungu ni elfu ishirini, maelfu kwa maelfu; Bwana yumo kati yao kama katika Sinai, Katika patakatifu.
Matendo 7:53 - Swahili Revised Union Version ninyi mlioipokea torati kwa agizo la malaika msiishike. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nyinyi mliipokea ile sheria iliyoletwa kwenu na Malaika, lakini hamkuitii.” Biblia Habari Njema - BHND Nyinyi mliipokea ile sheria iliyoletwa kwenu na Malaika, lakini hamkuitii.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nyinyi mliipokea ile sheria iliyoletwa kwenu na Malaika, lakini hamkuitii.” Neno: Bibilia Takatifu Ninyi ndio mlipokea sheria zilizoletwa kwenu na malaika, lakini hamkuzitii.” Neno: Maandiko Matakatifu Ninyi ndio mlipokea sheria zilizoletwa kwenu na malaika, lakini hamkuzitii.” BIBLIA KISWAHILI ninyi mlioipokea torati kwa agizo la malaika msiishike. |
Magari ya Mungu ni elfu ishirini, maelfu kwa maelfu; Bwana yumo kati yao kama katika Sinai, Katika patakatifu.
Je! Musa hakuwapa torati? Wala hakuna mmoja wenu aitendaye torati. Mbona mnatafuta kuniua?
Yeye ndiye aliyekuwa katika kanisa jangwani pamoja na yule malaika aliyesema naye katika mlima wa Sinai, tena pamoja na baba zetu; ndiye aliyepokea maneno ya uzima ili atupe sisi.
Torati ni nini basi? Iliingizwa kwa sababu ya makosa, hadi aje huyo mzao aliyepewa ile ahadi; iliamriwa kwa utumishi wa malaika kwa mkono wa mjumbe.
Kwa maana hata wao wenyewe waliotahiriwa hawaishiki sheria; bali wanataka ninyi mtahiriwe, wapate kuona fahari katika miili yenu.
Akasema, BWANA alitoka Sinai, Akawajia kutoka Seiri; Aliangaza katika kilima cha Parani, Akaja Meribath-kadeshi. Upande wa mkono wake wa kulia Palikuwa na sheria ya motomoto kwao.
Kwa maana, ikiwa lile neno lililonenwa na malaika lilikuwa imara, na kila kosa na uasi ulipata ujira wa haki,