Nami, Danieli, nikaona maono haya peke yangu; maana wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona maono haya; lakini tetemeko kuu liliwashika, hata wakakimbia ili kujificha.
Matendo 22:9 - Swahili Revised Union Version Na wale waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia ile sauti ya yule aliyesema nami. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wale wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule aliyeongea nami. Biblia Habari Njema - BHND Wale wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule aliyeongea nami. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wale wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule aliyeongea nami. Neno: Bibilia Takatifu Basi wale watu waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia sauti ya yule aliyekuwa akisema nami. Neno: Maandiko Matakatifu Basi wale watu waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia sauti ya yule aliyekuwa akisema nami. BIBLIA KISWAHILI Na wale waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia ile sauti ya yule aliyesema nami. |
Nami, Danieli, nikaona maono haya peke yangu; maana wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona maono haya; lakini tetemeko kuu liliwashika, hata wakakimbia ili kujificha.
Ee Mfalme, ndipo wakati wa adhuhuri njiani niliona nuru inatoka mbinguni ipitayo mwangaza wa jua, ikinimulikia mimi, na wale waliofuatana nami pande zote.
Na wale watu waliosafiri pamoja naye wakasimama kimya, waliisikia sauti, lakini hawakuona mtu.