Matendo 22:9 - Swahili Revised Union Version9 Na wale waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia ile sauti ya yule aliyesema nami. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Wale wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule aliyeongea nami. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Wale wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule aliyeongea nami. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Wale wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule aliyeongea nami. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Basi wale watu waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia sauti ya yule aliyekuwa akisema nami. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Basi wale watu waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia sauti ya yule aliyekuwa akisema nami. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Na wale waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia ile sauti ya yule aliyesema nami. Tazama sura |