Matendo 2:8 - Swahili Revised Union Version Imekuwaje basi sisi kusikia kila mtu lugha yetu tuliyozaliwa nayo? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Imekuwaje, basi, kwamba kila mmoja wetu anawasikia wakisema kwa lugha yake mwenyewe? Biblia Habari Njema - BHND Imekuwaje, basi, kwamba kila mmoja wetu anawasikia wakisema kwa lugha yake mwenyewe? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Imekuwaje, basi, kwamba kila mmoja wetu anawasikia wakisema kwa lugha yake mwenyewe? Neno: Bibilia Takatifu Imekuwaje basi kila mmoja wetu anawasikia wakinena kwa lugha yake ya kuzaliwa? Neno: Maandiko Matakatifu Imekuwaje basi kila mmoja wetu anawasikia wakinena kwa lugha yake ya kuzaliwa? BIBLIA KISWAHILI Imekuwaje basi sisi kusikia kila mtu lugha yetu tuliyozaliwa nayo? |
Waparthi na Wamedi na Waelami, nao wakaao Mesopotamia, Yudea na Kapadokia, Ponto na Asia,
Na Mungu ameweka wengine katika kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kisha miujiza, kisha karama za kuponya wagonjwa, aina za usaidizi, maongozi na aina za lugha.