Matendo 2:15 - Swahili Revised Union Version Sivyo mnavyodhani; watu hawa hawakulewa, kwa maana ni saa tatu ya mchana; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu hawa hawakulewa kama mnavyodhani; mbona ni saa tatu tu asubuhi? Biblia Habari Njema - BHND Watu hawa hawakulewa kama mnavyodhani; mbona ni saa tatu tu asubuhi? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu hawa hawakulewa kama mnavyodhani; mbona ni saa tatu tu asubuhi? Neno: Bibilia Takatifu Hakika watu hawa hawajalewa kama mnavyodhania, kwa kuwa sasa ni saa tatu asubuhi! Neno: Maandiko Matakatifu Hakika watu hawa hawakulewa kama mnavyodhania, kwa kuwa sasa ni saa tatu asubuhi! BIBLIA KISWAHILI Sivyo mnavyodhani; watu hawa hawakulewa, kwa maana ni saa tatu ya mchana; |
akamwambia, Kila mtu kwanza huandaa divai iliyo njema; na watu wakiisha kunywa sana ndipo huleta iliyo dhaifu; wewe umeiweka divai iliyo njema hata sasa.
Hana akajibu, akasema, Hasha! Bwana wangu, mimi ni mwanamke mwenye roho ya huzuni, mimi sikunywa divai wala kileo, ila nimeimimina roho yangu mbele za BWANA.