Matendo 17:8 - Swahili Revised Union Version Wakafadhaisha ule mkutano na wakubwa wa mji walipoyasikia hayo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu. Biblia Habari Njema - BHND Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu. Neno: Bibilia Takatifu Waliposikia haya, umati ule wa watu na maafisa wa mji wakaongeza ghasia. Neno: Maandiko Matakatifu Waliposikia haya, ule umati wa watu na maafisa wa mji wakaongeza ghasia. BIBLIA KISWAHILI Wakafadhaisha ule mkutano na wakubwa wa mji walipoyasikia hayo. |
Na watakapowapeleka ninyi mbele ya masinagogi na watawala na wenye mamlaka, msifadhaike kwa kuwaza maneno yenu jinsi mtakavyojibu au kusema;
Tukimwacha hivi, watu wote watamwamini; na Warumi watakuja, watatuondolea mahali petu na taifa letu.
na Yasoni amewakaribisha; na hawa wote wanatenda mambo yaliyo kinyume cha amri za Kaisari, wakisema na kusema yupo mfalme mwingine, aitwaye Yesu.