Matendo 17:8 - Swahili Revised Union Version8 Wakafadhaisha ule mkutano na wakubwa wa mji walipoyasikia hayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Waliposikia haya, umati ule wa watu na maafisa wa mji wakaongeza ghasia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Waliposikia haya, ule umati wa watu na maafisa wa mji wakaongeza ghasia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Wakafadhaisha ule mkutano na wakubwa wa mji walipoyasikia hayo. Tazama sura |