Matendo 17:9 - Swahili Revised Union Version9 Nao walipokwisha kumtoza dhamana Yasoni na wenziwe wakawaacha waende zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Wakawafanya Yasoni na wenzake watoe dhamana, kisha wakawaacha waende zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Wakawafanya Yasoni na wenzake watoe dhamana, kisha wakawaacha waende zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Wakawafanya Yasoni na wenzake watoe dhamana, kisha wakawaacha waende zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Nao baada ya kuchukua dhamana kwa ajili ya Yasoni na wenzake wakawaachia waende zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Nao baada ya kuchukua dhamana kwa ajili ya Yasoni na wenzake wakawaacha waende zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Nao walipokwisha kumtoza dhamana Yasoni na wenziwe wakawaacha waende zao. Tazama sura |