Mathayo 2:3 - Swahili Revised Union Version3 Basi mfalme Herode aliposikia hayo, alifadhaika, na Yerusalemu pia pamoja naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mfalme Herode aliposikia hayo, alifadhaika, yeye pamoja na wakazi wote wa Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mfalme Herode aliposikia hayo, alifadhaika, yeye pamoja na wakazi wote wa Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mfalme Herode aliposikia hayo, alifadhaika, yeye pamoja na wakazi wote wa Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mfalme Herode aliposikia jambo hili aliingiwa na hofu sana pamoja na watu wote wa Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mfalme Herode aliposikia jambo hili aliingiwa na hofu sana pamoja na watu wote wa Yerusalemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Basi mfalme Herode aliposikia hayo, alifadhaika, na Yerusalemu pia pamoja naye. Tazama sura |