Ndipo alipowakataza sana wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote ya kwamba yeye ndiye Kristo.
Marko 8:30 - Swahili Revised Union Version Akawaonya wasimwambie mtu habari zake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake. Biblia Habari Njema - BHND Kisha Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake. Neno: Bibilia Takatifu Isa akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake. Neno: Maandiko Matakatifu Isa akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake. BIBLIA KISWAHILI Akawaonya wasimwambie mtu habari zake. |
Ndipo alipowakataza sana wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote ya kwamba yeye ndiye Kristo.
Yesu akamwambia, Angalia, usimwambie mtu; ila nenda zako, ukajioneshe kwa kuhani, ukaitoe sadaka kama alivyoamuru Musa, iwe ushuhuda kwao.
Akawaonya wasimwambie mtu; lakini kadiri ya alivyozidi kuwaagiza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari;
Akamwagiza aende nyumbani kwake, akisema, Hata kijijini usiingie. Petro Amkiri Yesu kuwa Kristo.
Na walipokuwa wakishuka mlimani aliwakataza wasimweleze mtu waliyoyaona, hadi Mwana wa Adamu atakapokuwa amefufuka katika wafu.