Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Marko 8:26 - Swahili Revised Union Version

26 Akamwagiza aende nyumbani kwake, akisema, Hata kijijini usiingie. Petro Amkiri Yesu kuwa Kristo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, “Usirudi kijijini!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, “Usirudi kijijini!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, “Usirudi kijijini!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Isa akamtuma nyumbani mwake, akamwambia, “Hata kijijini usiingie.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Isa akamuaga aende nyumbani kwake, akimwambia, “Hata kijijini usiingie.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

26 Akamwagiza aende nyumbani kwake, akisema, Hata kijijini usiingie.

Tazama sura Nakili




Marko 8:26
7 Marejeleo ya Msalaba  

akawakataza wasimdhihirishe;


Yesu akamwambia, Angalia, usimwambie mtu; ila nenda zako, ukajioneshe kwa kuhani, ukaitoe sadaka kama alivyoamuru Musa, iwe ushuhuda kwao.


Macho yao yakafumbuka. Naye Yesu akawaagiza kwa nguvu, akisema, Angalieni hata mtu mmoja asijue.


Akawaonya sana, mtu asijue habari ile; akaamuru apewe chakula.


Akawaonya wasimwambie mtu; lakini kadiri ya alivyozidi kuwaagiza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari;


Akamshika mkono yule kipofu, akamchukua nje ya kijiji, akamtemea mate katika macho, akamwekea mikono yake, akamwuliza, Waona kitu?


Ndipo akaweka tena mikono yake juu ya macho yake, naye akatazama sana; akawa mzima, akaona vyote waziwazi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo