Hakuna kitu kilicho nje ya mtu ambacho kikimwingia chaweza kumtia unajisi, bali vile vimtokavyo, ndivyo vimtiavyo unajisi yule mtu. [
Marko 7:23 - Swahili Revised Union Version Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu unajisi.” Biblia Habari Njema - BHND Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu unajisi.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu unajisi.” Neno: Bibilia Takatifu Maovu haya yote hutoka ndani ya mtu, nayo ndiyo yamtiayo mtu unajisi.” Neno: Maandiko Matakatifu Maovu haya yote hutoka ndani ya mtu, nayo ndiyo yamtiayo mtu unajisi.” BIBLIA KISWAHILI Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi. |
Hakuna kitu kilicho nje ya mtu ambacho kikimwingia chaweza kumtia unajisi, bali vile vimtokavyo, ndivyo vimtiavyo unajisi yule mtu. [
Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi;
wizi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu.
Akaondoka huko, akaenda zake hata mipaka ya Tiro na Sidoni. Akaingia katika nyumba, akataka isijulikane na mtu; lakini hakuweza kusitirika.
Kama mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi.
Vitu vyote ni safi kwa hao walio safi; lakini hakuna kilicho safi kwao walio wanajisi, wasioamini; bali akili zao zimekuwa najisi, na nia zao pia.
Kadhalika na hawa, katika kuota kwao, huutia mwili uchafu, hukataa kutawaliwa, na kuyatukana matukufu.