wala mkoba wa safari, wala kanzu mbili, wala viatu, wala fimbo; maana mfanyakazi astahili posho yake.
Marko 6:9 - Swahili Revised Union Version lakini wajifungie viatu; akasema, Msivae kanzu mbili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Vaeni viatu lakini msichukue koti la ziada.” Biblia Habari Njema - BHND Vaeni viatu lakini msichukue koti la ziada.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Vaeni viatu lakini msichukue koti la ziada.” Neno: Bibilia Takatifu Vaeni viatu, lakini msivae nguo ya ziada. Neno: Maandiko Matakatifu Vaeni viatu, lakini msivae nguo ya ziada.” BIBLIA KISWAHILI lakini wajifungie viatu; akasema, Msivae kanzu mbili. |
wala mkoba wa safari, wala kanzu mbili, wala viatu, wala fimbo; maana mfanyakazi astahili posho yake.
Kweli mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba; bali yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua viatu vyake; yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.
Akawaambia, Mahali popote mtakapoingia katika nyumba, kaeni humo hadi mtakapotoka mahali pale.
akawakataza wasichukue kitu cha njiani isipokuwa fimbo tu; wala mkate, wala mkoba, wala pesa za kibindoni;
Malaika akamwambia, Jifunge, kavae viatu vyako. Akafanya hivyo. Kisha akamwambia, Jivike nguo yako, ukanifuate.