Marko 6:10 - Swahili Revised Union Version10 Akawaambia, Mahali popote mtakapoingia katika nyumba, kaeni humo hadi mtakapotoka mahali pale. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Tena aliwaambia, “Popote mtakapokaribishwa nyumbani, kaeni humo mpaka mtakapoondoka mahali hapo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Tena aliwaambia, “Popote mtakapokaribishwa nyumbani, kaeni humo mpaka mtakapoondoka mahali hapo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Tena aliwaambia, “Popote mtakapokaribishwa nyumbani, kaeni humo mpaka mtakapoondoka mahali hapo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mkiingia kwenye nyumba yoyote, kaeni humo hadi mtakapoondoka katika mji huo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Akawaambia, “Mkiingia kwenye nyumba yoyote, kaeni humo hadi mtakapoondoka katika mji huo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Akawaambia, Mahali popote mtakapoingia katika nyumba, kaeni humo hadi mtakapotoka mahali pale. Tazama sura |