Yesu aliposikia hayo, alistaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa namna hii, kwa yeyote katika Israeli.
Marko 6:51 - Swahili Revised Union Version Akapanda mle katika mashua walimo; upepo ukakoma; wakashangaa sana mioyoni mwao; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha akapanda mashuani walimokuwa, na upepo ukatulia. Nao wakashangaa sana, Biblia Habari Njema - BHND Kisha akapanda mashuani walimokuwa, na upepo ukatulia. Nao wakashangaa sana, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha akapanda mashuani walimokuwa, na upepo ukatulia. Nao wakashangaa sana, Neno: Bibilia Takatifu Akapanda ndani ya mashua nao, na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa, Neno: Maandiko Matakatifu Akapanda ndani ya mashua nao, na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa, BIBLIA KISWAHILI Akapanda mle katika mashua walimo; upepo ukakoma; wakashangaa sana mioyoni mwao; |
Yesu aliposikia hayo, alistaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa namna hii, kwa yeyote katika Israeli.
Wakashangaa wote, hata wakaulizana, wakisema, Nini hii? Ni elimu mpya! Maana kwa uweza awaamuru hata pepo wachafu, nao wamtii!
Mara akaondoka, akajitwika godoro lake, akatoka mbele yao wote; hata wakastaajabu wote, wakamtukuza Mungu, wakisema, Hatujawahi kuona jambo kama hili kamwe.
Akaamka, akaukemea upepo, akaiambia bahari, Nyamaza, utulie. Upepo ukakoma, kukawa shwari kuu.
Mara akasimama yule kijana, akaenda; maana alikuwa amepata umri wa miaka kumi na miwili. Mara wakashangaa mshangao mkuu.
wakashangaa mno kupita kiasi, wakinena, Ametenda mambo yote vema; viziwi awafanya wasikie, na bubu waseme.
Basi wakataka kumpokea katika mashua; na mara hiyo mashua ikaifikia nchi waliyokuwa wakiiendea.