Basi walipoingia katika ile nyumba, alipokuwa amelala kitandani mwake, katika chumba chake cha kulala, wakampiga, wakamwua, wakamkata kichwa, wakachukua kichwa chake, wakaenda zao kwa njia ya Araba usiku kucha.
Marko 6:28 - Swahili Revised Union Version akakileta kichwa chake katika kombe, akampa yule kijana, naye yule kijana akampa mamaye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema akakileta katika sinia, akampa msichana naye msichana akampa mama yake. Biblia Habari Njema - BHND akakileta katika sinia, akampa msichana naye msichana akampa mama yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza akakileta katika sinia, akampa msichana naye msichana akampa mama yake. Neno: Bibilia Takatifu akakileta kichwa chake kwenye sinia na kumpa yule msichana, naye yule msichana akampa mama yake. Neno: Maandiko Matakatifu akakileta kichwa chake kwenye sinia na kumpa yule msichana, naye yule msichana akampa mama yake. BIBLIA KISWAHILI akakileta kichwa chake katika kombe, akampa yule kijana, naye yule kijana akampa mamaye. |
Basi walipoingia katika ile nyumba, alipokuwa amelala kitandani mwake, katika chumba chake cha kulala, wakampiga, wakamwua, wakamkata kichwa, wakachukua kichwa chake, wakaenda zao kwa njia ya Araba usiku kucha.
Akaja mjumbe, akamwambia, akasema, Wamevileta vile vichwa vya wana wa mfalme. Akasema, Viwekeni marundo mawili penye maingilio ya lango hata asubuhi.
Naye, huku akichochewa na mamaye, akasema, Nipe hapa katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.
Mara mfalme akatuma askari, akaamuru kuleta kichwa chake. Basi akaenda, akamkata kichwa mle gerezani,
Wanafunzi wake waliposikia habari, walikwenda, wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini.