Marko 5:1 - Swahili Revised Union Version Wakafika ng'ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerase. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ngambo ya ziwa. Biblia Habari Njema - BHND Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ngambo ya ziwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ng'ambo ya ziwa. Neno: Bibilia Takatifu Isa na wanafunzi wake wakafika upande wa pili wa ziwa, wakaingia katika nchi ya Wagerasi. Neno: Maandiko Matakatifu Wakafika upande wa pili wa ziwa wakaingia katika nchi ya Wagerasi. BIBLIA KISWAHILI Wakafika ng'ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerase. |