Marko 4:2 - Swahili Revised Union Version Akawafundisha mambo mengi kwa mifano, akawaambia katika mafundisho yake, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aliwafundisha mambo mengi kwa mifano, na katika mafundisho yake aliwaambia, Biblia Habari Njema - BHND Aliwafundisha mambo mengi kwa mifano, na katika mafundisho yake aliwaambia, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aliwafundisha mambo mengi kwa mifano, na katika mafundisho yake aliwaambia, Neno: Bibilia Takatifu Akawafundisha mambo mengi kwa mifano, naye katika mafundisho yake akasema: Neno: Maandiko Matakatifu Akawafundisha mambo mengi kwa mifano, naye katika mafundisho yake akasema: BIBLIA KISWAHILI Akawafundisha mambo mengi kwa mifano, akawaambia katika mafundisho yake, |
Akaondoka huko akafika katika eneo la Yudea, na ng'ambo ya Yordani; makutano mengi wakakutanika tena wakamwendea; akawafundisha tena kama alivyozoea.
Akaanza kusema nao kwa mifano; Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu, akalizungushia ua, akachimba shimo la shinikizo, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri.
Akawaambia katika mafundisho yake, Jihadharini na waandishi, wapendao kutembea wakiwa wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa masokoni,
Akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuijua siri ya ufalme wa Mungu, bali kwa wale walio nje, yote hufanywa kwa mifano,