Marko 4:13 - Swahili Revised Union Version Akawaambia, Hamjui mfano huu? Basi mifano yote mtaitambuaje? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Yesu akawauliza, “Je, nyinyi hamwelewi mfano huu? Mtawezaje basi, kuelewa mfano wowote? Biblia Habari Njema - BHND Basi, Yesu akawauliza, “Je, nyinyi hamwelewi mfano huu? Mtawezaje basi, kuelewa mfano wowote? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Yesu akawauliza, “Je, nyinyi hamwelewi mfano huu? Mtawezaje basi, kuelewa mfano wowote? Neno: Bibilia Takatifu Kisha Isa akawauliza, “Hamwelewi maana ya mfano huu? Basi mtaelewaje mifano mingine? Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Isa akawauliza, “Hamwelewi maana ya mfano huu? Basi mtaelewaje mifano mingine? BIBLIA KISWAHILI Akawaambia, Hamjui mfano huu? Basi mifano yote mtaitambuaje? |