Marko 3:19 - Swahili Revised Union Version na Yuda Iskarioti, ndiye aliyemsaliti. Kisha akaingia nyumbani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yuda Iskarioti ambaye alimsaliti Yesu. Biblia Habari Njema - BHND Yuda Iskarioti ambaye alimsaliti Yesu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yuda Iskarioti ambaye alimsaliti Yesu. Neno: Bibilia Takatifu na Yuda Iskariote aliyemsaliti Isa. Neno: Maandiko Matakatifu na Yuda Iskariote aliyemsaliti Isa. BIBLIA KISWAHILI na Yuda Iskarioti, ndiye aliyemsaliti. Kisha akaingia nyumbani. |
Basi alipokuwa katika kusema, tazama, Yuda, mmoja wa wale Kumi na Wawili akaja, na pamoja naye kundi kubwa wenye panga na marungu, wametoka kwa wakuu wa makuhani na wazee wa watu.
na Andrea, na Filipo, na Bartholomayo, na Mathayo, na Tomaso, na Yakobo wa Alfayo, na Thadayo, na Simoni Mkananayo,
Hata wakati wa chakula cha jioni; naye Ibilisi amekwisha kumtia Yuda, mwana wa Simoni Iskarioti, moyo wa kumsaliti;
Lakini kuna wengine miongoni mwenu wasioamini. Kwa maana Yesu alijua tangu mwanzo ni nani wasioamini, naye ni nani atakayemsaliti.
Alimnena Yuda, mwana wa Simoni Iskarioti; maana huyo ndiye atakayemsaliti; naye ni mmojawapo wa wale Kumi na Wawili.