Marko 15:37 - Swahili Revised Union Version Naye Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akapaza sauti kubwa, akakata roho. Biblia Habari Njema - BHND Yesu akapaza sauti kubwa, akakata roho. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akapaza sauti kubwa, akakata roho. Neno: Bibilia Takatifu Kisha Isa akatoa sauti kuu, akakata roho. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Isa akatoa sauti kuu, akakata roho. BIBLIA KISWAHILI Naye Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho. |
Na mmoja akaenda mbio, akajaza sifongo siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha, akisema, Acheni, na tuone kwamba Eliya anakuja kumteremsha.
Basi Yesu alipokwisha kuipokea ile siki, alisema, Imekwisha. Akainama kichwa, akaisalimu roho yake.
Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu;