Nao askari wakamchukua ndani ya behewa, ndiyo Praitorio (yaani, makao makuu ya mtawala), wakakusanya pamoja kikosi kizima.
Marko 15:17 - Swahili Revised Union Version Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji la miiba, wakamtia kichwani; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani. Biblia Habari Njema - BHND Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani. Neno: Bibilia Takatifu Wakamvalisha Isa joho la zambarau, wakasokota taji la miiba, wakamvika kichwani. Neno: Maandiko Matakatifu Wakamvalisha Isa joho la zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamvika kichwani. BIBLIA KISWAHILI Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji la miiba, wakamtia kichwani; |
Nao askari wakamchukua ndani ya behewa, ndiyo Praitorio (yaani, makao makuu ya mtawala), wakakusanya pamoja kikosi kizima.
Basi Herode akamdhalilisha, pamoja na askari wake, akamdhihaki, na kumvika mavazi mazuri; kisha akamrudisha kwa Pilato.