Marko 14:23 - Swahili Revised Union Version Akatwaa kikombe, akashukuru, akawapa; wakakinywea wote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha akatwaa kikombe cha divai, akamshukuru Mungu, akawapa; wote wakanywa kutoka kikombe hicho. Biblia Habari Njema - BHND Kisha akatwaa kikombe cha divai, akamshukuru Mungu, akawapa; wote wakanywa kutoka kikombe hicho. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha akatwaa kikombe cha divai, akamshukuru Mungu, akawapa; wote wakanywa kutoka kikombe hicho. Neno: Bibilia Takatifu Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, nao wote wakanywa kutoka humo. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, nao wote wakanywa kutoka humo. BIBLIA KISWAHILI Akatwaa kikombe, akashukuru, akawapa; wakakinywea wote. |
Nao walipokuwa wakila, alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa, akasema, Twaeni; huu ndio mwili wangu.
Yeye aadhimishaye siku, huiadhimisha kwa Bwana; naye alaye, hula kwa Bwana, kwa maana amshukuru Mungu; tena asiyekula, hali kwa Bwana, naye pia amshukuru Mungu.
Kikombe kile cha baraka tukibarikicho, je! Si ushirika wa damu ya Kristo? Mkate ule tuumegao, si ushirika wa mwili wa Kristo?