Marko 14:17 - Swahili Revised Union Version Basi ilipokuwa jioni akaja pamoja na wale Kumi na Wawili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Biblia Habari Njema - BHND Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Neno: Bibilia Takatifu Ilipofika jioni, Isa akaja pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili. Neno: Maandiko Matakatifu Ilipofika jioni, Isa akaja pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili. BIBLIA KISWAHILI Basi ilipokuwa jioni akaja pamoja na wale Kumi na Wawili. |
Nao walipokuwa wameketi chakulani, wakila, Yesu alisema, Amin, nawaambia, Mmoja wenu, naye anakula pamoja nami, atanisaliti.
Sisemi habari za ninyi nyote; nawajua wale niliowachagua; lakini andiko lipate kutimizwa, Aliyekula chakula changu Ameniinulia kisigino chake.