Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Marko 14:17 - Swahili Revised Union Version

17 Basi ilipokuwa jioni akaja pamoja na wale Kumi na Wawili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Ilipofika jioni, Isa akaja pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Ilipofika jioni, Isa akaja pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Basi ilipokuwa jioni akaja pamoja na wale Kumi na Wawili.

Tazama sura Nakili

Marko 14:17
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wanafunzi wakatoka, wakaenda mjini, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa Pasaka.

Nao walipokuwa wameketi chakulani, wakila, Yesu alisema, Amin, nawaambia, Mmoja wenu, naye anakula pamoja nami, atanisaliti.

Na saa ilipofika aliketi chakulani, yeye na wale mitume pamoja naye.

Sisemi habari za ninyi nyote; nawajua wale niliowachagua; lakini andiko lipate kutimizwa, Aliyekula chakula changu Ameniinulia kisigino chake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo