Marko 12:21 - Swahili Revised Union Version Wa pili naye akamtwaa akafa, wala yeye hakuacha mzawa. Na wa tatu kadhalika; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndugu wa pili akamwoa huyo mjane, naye pia akafa bila kuacha mtoto; na ndugu watatu hali kadhalika. Biblia Habari Njema - BHND Ndugu wa pili akamwoa huyo mjane, naye pia akafa bila kuacha mtoto; na ndugu watatu hali kadhalika. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndugu wa pili akamwoa huyo mjane, naye pia akafa bila kuacha mtoto; na ndugu watatu hali kadhalika. Neno: Bibilia Takatifu Wa pili akamwoa yule mjane, lakini naye akafa bila kuacha mtoto yeyote. Ikawa vivyo hivyo kwa yule wa tatu. Neno: Maandiko Matakatifu Wa pili akamwoa yule mjane, lakini naye akafa bila kuacha mtoto yeyote. Ikawa vivyo hivyo kwa yule wa tatu. BIBLIA KISWAHILI Wa pili naye akamtwaa akafa, wala yeye hakuacha mzao. Na wa tatu kadhalika; |