Marko 12:22 - Swahili Revised Union Version22 hata na wote saba, wasiache mzawa. Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Wote saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane naye akafa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Wote saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane naye akafa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Wote saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane naye akafa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Hakuna hata mmoja wa hao ndugu saba aliyeacha mtoto. Hatimaye yule mwanamke naye akafa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Hakuna hata mmojawapo wa hao ndugu wote saba aliyeacha mtoto. Hatimaye yule mwanamke naye akafa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 hata na wote saba, wasiache mzao. Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye. Tazama sura |