Mwalimu, Musa alituandikia ya kwamba ndugu ya mtu akifa, akamwacha mkewe wala hana mtoto, ndugu yake amtwae yule mkewe akampatie ndugu yake mzao.
Marko 12:20 - Swahili Revised Union Version Basi kulikuwa na ndugu saba, wa kwanza akatwaa mke, akafa, asiache mzawa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa, akafa bila kuacha mtoto. Biblia Habari Njema - BHND Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa, akafa bila kuacha mtoto. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa, akafa bila kuacha mtoto. Neno: Bibilia Takatifu Basi kulikuwa na ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa mke, naye akafa bila kuacha mtoto yeyote. Neno: Maandiko Matakatifu Basi palikuwepo ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa mke, naye akafa pasipo kuwa na mtoto yeyote. BIBLIA KISWAHILI Basi kulikuwa na ndugu saba, wa kwanza akatwaa mke, akafa, asiache mzao. |
Mwalimu, Musa alituandikia ya kwamba ndugu ya mtu akifa, akamwacha mkewe wala hana mtoto, ndugu yake amtwae yule mkewe akampatie ndugu yake mzao.