Nendeni katika kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwanapunda pamoja naye; wafungueni mniletee.
Marko 11:5 - Swahili Revised Union Version Baadhi ya watu waliosimama huko wakawaambia, Mnafanya nini kumfungua mwanapunda? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwanapunda?” Biblia Habari Njema - BHND baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwanapunda?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwanapunda?” Neno: Bibilia Takatifu Walipokuwa wanamfungua, watu waliokuwa wamesimama karibu wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwana-punda?” Neno: Maandiko Matakatifu Walipokuwa wanamfungua, watu waliokuwa wamesimama karibu wakawauliza, “Mna maana gani mnapomfungua huyo mwana-punda?” BIBLIA KISWAHILI Baadhi ya watu waliosimama huko wakawaambia, Mnafanya nini kumfungua mwanapunda? |
Nendeni katika kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwanapunda pamoja naye; wafungueni mniletee.
Wakaenda zao, wakamwona mwanapunda amefungwa penye mlango, nje katika njia kuu, wakamfungua.