Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 21:2 - Swahili Revised Union Version

2 Nendeni katika kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwanapunda pamoja naye; wafungueni mniletee.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 akawaambia, “Nendeni hadi kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete kwangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 akawaambia, “Nendeni hadi kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete kwangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 akawaambia, “Nendeni hadi kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete kwangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu, nanyi mtampata punda amefungwa hapo, na mwana-punda pamoja naye. Wafungueni na mniletee.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilichoko mbele yenu, nanyi mtamkuta punda amefungwa hapo, na mwana-punda pamoja naye. Wafungueni na mniletee.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Nendeni katika kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwanapunda pamoja naye; wafungueni mniletee.

Tazama sura Nakili

Mathayo 21:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

Atafunga punda wake katika mzabibu, Na mwanapunda wake katika mzabibu mzuri. Amefua nguo zake kwa mvinyo, Na mavazi yake kwa damu ya zabibu.

Walipokaribia Yerusalemu, na kufika Bethfage, katika mlima wa Mizeituni, ndipo Yesu alipotuma wanafunzi wawili akiwaambia,

Na kama mtu akiwaambia neno, semeni, Bwana anawahitaji; naye atawatuma mara moja.

Akasema, Nendeni mjini kwa mtu fulani, mkamwambie, Mwalimu asema, Majira yangu ni karibu; kwako nitafanya Pasaka pamoja na wanafunzi wangu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo