Marko 11:4 - Swahili Revised Union Version4 Wakaenda zao, wakamwona mwanapunda amefungwa penye mlango, nje katika njia kuu, wakamfungua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Basi, wakaenda, wakamkuta mwanapunda barabarani amefungwa mlangoni. Walipokuwa wakimfungua, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Basi, wakaenda, wakamkuta mwanapunda barabarani amefungwa mlangoni. Walipokuwa wakimfungua, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Basi, wakaenda, wakamkuta mwanapunda barabarani amefungwa mlangoni. Walipokuwa wakimfungua, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wakaenda, wakampata mwana-punda amefungwa kando ya barabara, karibu na mlango wa nyumba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wakaenda, wakamkuta mwana-punda amefungwa kando ya barabara, karibu na mlango wa nyumba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Wakaenda zao, wakamwona mwanapunda amefungwa penye mlango, nje katika njia kuu, wakamfungua. Tazama sura |