Marko 11:12 - Swahili Revised Union Version Siku iliyofuata walipokuwa wakitoka Bethania, aliona njaa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kesho yake, walipokuwa wanatoka Bethania, Yesu aliona njaa. Biblia Habari Njema - BHND Kesho yake, walipokuwa wanatoka Bethania, Yesu aliona njaa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kesho yake, walipokuwa wanatoka Bethania, Yesu aliona njaa. Neno: Bibilia Takatifu Kesho yake walipokuwa wakitoka Bethania, Isa alikuwa na njaa. Neno: Maandiko Matakatifu Kesho yake walipokuwa wakitoka Bethania, Isa alikuwa na njaa. BIBLIA KISWAHILI Siku iliyofuata walipokuwa wakitoka Bethania, aliona njaa. |
Akaona kwa mbali mtini wenye majani, akaenda ili labda aone kitu juu yake; na alipoufikia hakuona kitu ila majani; maana si wakati wa tini.
Baada ya hayo Yesu, hali akijua ya kuwa yote yamekwisha kumalizika ili andiko litimizwe, akasema, Naona kiu.
Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye kafara ya suluhu kwa dhambi za watu wake.