lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Marko 10:12 - Swahili Revised Union Version na mke, akimwacha mumewe na kuolewa na mtu mwingine, azini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na mwanamke anayemwacha mumewe na kuolewa na mwingine anazini.” Biblia Habari Njema - BHND Na mwanamke anayemwacha mumewe na kuolewa na mwingine anazini.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na mwanamke anayemwacha mumewe na kuolewa na mwingine anazini.” Neno: Bibilia Takatifu Naye mwanamke amwachaye mumewe na kuolewa na mume mwingine, anazini.” Neno: Maandiko Matakatifu Naye mwanamke amwachaye mumewe na kuolewa na mume mwingine, anazini.” BIBLIA KISWAHILI na mke, akimwacha mumewe na kuolewa na mtu mwingine, azini. |
lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
lakini, ikiwa ameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe.
Na mwanamke, ambaye ana mume asiyeamini, na mume huyo anakubali kukaa naye, asimwache mumewe.