Marko 10:13 - Swahili Revised Union Version13 Basi wakamletea watoto wadogo ili awaguse; wanafunzi wake wakawakemea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Watu walikuwa wakimletea Isa watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wake wakawakemea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Watu walikuwa wakimletea Isa watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wake wakawakemea. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Basi wakamletea watoto wadogo ili awaguse; wanafunzi wake wakawakemea. Tazama sura |