Marko 1:42 - Swahili Revised Union Version Na mara ukoma wake ukamtoka, akatakasika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mara ukoma ukamwacha mtu huyo, akatakasika. Biblia Habari Njema - BHND Mara ukoma ukamwacha mtu huyo, akatakasika. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mara ukoma ukamwacha mtu huyo, akatakasika. Neno: Bibilia Takatifu Mara ukoma ukamtoka, naye akatakasika. Neno: Maandiko Matakatifu Mara ukoma ukamtoka, naye akatakasika. BIBLIA KISWAHILI Na mara ukoma wake ukamtoka, akatakasika. |
Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.
Mara chemchemi ya damu yake ikakauka, naye akafahamu mwilini mwake kwamba amepona msiba ule.