Marko 5:29 - Swahili Revised Union Version29 Mara chemchemi ya damu yake ikakauka, naye akafahamu mwilini mwake kwamba amepona msiba ule. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Mara chemchemi ya damu yake ikakauka, akajisikia mwilini mwake kwamba ameponywa ugonjwa wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Mara chemchemi ya damu yake ikakauka, akajisikia mwilini mwake kwamba ameponywa ugonjwa wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Mara chemchemi ya damu yake ikakauka, akajisikia mwilini mwake kwamba ameponywa ugonjwa wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Mara kutoka damu kwake kukakoma, naye akajisikia mwilini mwake amepona kabisa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Mara kutoka damu kwake kukakoma, naye akajisikia mwilini mwake amepona kabisa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Mara chemchemi ya damu yake ikakauka, naye akafahamu mwilini mwake kwamba amepona msiba ule. Tazama sura |